Search Box

Wednesday, March 26, 2014

Nu VIDEO: Shilole - Chuna Buzi...Shilole asema zipo mbili yenye maadili ni kwa ajili ya TV ya kwenye internet ndio kama ilivyo

8:37 AM

Baada y akuachia video ya wimbo wake mpya "Chuna Buzi" kupitia mitandao na kwenye televisheni mbali mbali, Shilole amefunguka kuhusu kuogopa kufungiwa kwa video yake na kuamua  kutengeneza video mbili tofauti  ambapo moja itakuwa ni kwa ajili ya Television na ingine kwa ajili ya kwenye mtandao.

tofauti yake ni kwamba ile ya kwenye TV kidogo  tumezingatia maadili halafu ya kwenye internet ndio ipo kama ilivyo" Amesema Shilole.

Written by

We are Creative Blogger Theme Wavers which provides user friendly, effective and easy to use themes. Each support has free and providing HD support screen casting.

0 comments:

Post a Comment

 

© 2013 Bongo Muzik. All rights resevered. Designed by Samber Junior

Back To Top